Ondokana na usumbufu wa ma-Excel. Dhibiti miradi ya viwanja na mashamba, fuatilia malipo ya kidogo kidogo ya wateja, toa risiti, mikataba, na dhibiti ugawaji wa hati (Title Deeds) sehemu moja.
Mchanganuo wa vipengele vya mfumo kulingana na aina ya kifurushi unachochagua kwa ajili ya kampuni yako.
Chagua kifurushi sahihi kulingana na ukubwa na uwezo wa kampuni yako ya viwanja
Vipengele utakavyopata:
Vipengele utakavyopata:
Sifa zote za Standard plus:
Tazama jinsi injini ya usimamizi inavyofanya kazi kwa urahisi
Wanunuzi wako wanaweza kuingia na kuona viwanja vyao walivyopangiwa, kufuatilia malipo yao ya awamu, na kuona salio lililobaki.
Uongozi na mameneja wanaweza kuona jumla ya mauzo ya viwanja, kufuatilia miradi mipya, madeni ya wateja, na hesabu za ofisi kwa ujumla.